Jaji Warioba: Ukweli Mchungu wa 'Nongwa' Zake

...Wewe bila shaka utakuwa makonda.

Umemkamia sana mzee wa watu kwa kuhororoja ujinga ujinga usiokuwa na maana yoyote.

Jibuni hoja za mzee sio kupinda pinda.
Unaongea kuhusu rasmu ya katiba ambayo mapendekezo yake yaliungwa mkono na asilimia kubwa ya watanzania lakini ilipofika kwenu maCCM mkaivuruga utafikiri kwamba tume ililenga kuchukua maoni kwa upande wa upinzani tu!

Hakuna chama kitatawala milele. Hao mabwanyenye na mashetani mnaowatetea kila uchwao, ipo siku mambo yatapinduka upside down.
 
Ni kweli warioba alihusika kuandika katiba ya 1977, lakini nikwambie katiba hupitwa na wakati.

Namna ya kuliponya taifa fuateni ushauri wa mzee. Kejeli za kusema waandamanaji waliuana wenyewe na kuiba uchaguzi zinaendelea kuweka chumvi kwenye kidonda kibichi.

Maridhiano yawe ya kweli na si laghai laghai! Na kuwe na uwajibikaji.
 
Hakuna mwanaccm anaweza kumjibu Warioba kwa hoja zaidi ya matusi na personal attack. Katiba ni maono ya wananchi si hadidu za rejea. Wakina Chande mmewapa hadidu za rejea, wameishia kuonekana wapuuzi. Inshort Warioba yuko upande wa wananchi sio upande wa viongozi majizi.
 
Eee Mwenyezi Mungu, chukua miccm yote tuachie Mzee Warioba.
 
Ukimuona Mzee Warioba anaongea kwenye mkutano wa kisiasa au hii mingine yenye sura za uanaharakati tambua keshaingiziwa pesa sio chini ya shilingi milioni tano mpaka kumi.

Anaishi hivyo kwa miaka mingi tu, mfumo unamheshimu na umekuwa ukimtazama tu kwa ile heshima aliyonayo ya kushika nyadhifa awamu ya kwanza.

Upo uchawa mdogo wa waandishi wengi wa habari wanalipwa pesa zisizozidi laki moja halafu wanaharibu sana hali za hewa.

Pia upo uchawa wa wanasiasa wenye ushawishi ambao zamani walikuwa na vyeo vikubwa, hawa wanalipwa kuanzia milioni tano kwenda juu kisha wanafanya kile kile walichokifanya waandishi na wachambuzi wasio na majina.
 
Zack abdul utachoka tu, waliwepo akina Bia yetu sembuse wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…