Elections 2010 Jaji Werema jiuzulu, umevunja katiba


Ukitenda mema wataku-jaji kwa mema uliyotenda. nafikiri hujaelewa vizuri motion:tape::tape::tape::tape:
 

Ni kweli mfano unprocedural, unconstitutional,
 
yule jaji toka alipochaguliwa hajui sheria anababaisha tu kama jk

hana lolote

nashukuru kwa kuwa siwatambui
 

Hapa vumbi tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
 
yule jaji toka alipochaguliwa hajui sheria anababaisha tu kama jk

hana lolote

nashukuru kwa kuwa siwatambui

ni ajabu kuwa aliwezaje kufika ngazi ya ujaji kwa upeo wake wa sheria unaoonekana mdogo sana kama Chenge
 
Mwanamayu na wengine,

Mwenzenu sijasoma sheria na katiba sijawahi kuisoma yote ila vifunguvifungu.

Mengi najifunza hapa ndani kutoka kwa Wanasheria na walioipitia Katiba.

Nimekuwa nikisikia siku zote kuwa "NEC wakitangaza matokeo basi ndiyo imetoka." Na hii ndiyo katiba yetu inavyosema. Ili kuliwahi hilo, Chadema waliwaandikia NEC wasitangaze matokeo. NEC mwanzo walijibu kuwa wanasubiri barua ya malalamiko kutoka kwa Chadema. Walipoipata, wao wakaendelea kutangaza matokeo.

Niliposoma maelezo ya AG, nilishangazwa sana maana kumbukumbu yangu iliniambia "ikitangazwa, imetoka". Sasa huyu AG anasema "Chadema waende Mahakamani...mhhhh!!!!!" Ila kwa sababu mie sheria zimenipitia kushoto, sikutaka kujigamba mbele ya Wagambirwa na mwisho wa siku unaangukia Pua. Sasa ndiyo nakuja kuthibitisha kuwa AG alichemsha. Ni kichekesho kikubwa maana hata mie ambaye sikusoma sheria na hasa hizi za uchaguzi, katika kipindi kama hiki kwa jambo hili ambalo limeifanya nchi iwe katika hali tete, unakuwa hujui vifungu vya sheria vinasemaje.

Swali langu la Kwa Wanaheria au mnaoifahamu sheria/katiba vizuri:
1. Kama Jaji Makame na kundi lake wametangaza matokeo wakati Chadema waliwaandikia wasitishe kwanza, sheria inasemaje?
2. Kwa kubadilisha matokeo na kutangaza matokeo tofauti na ya kituoni, haiwezekani kumshataki Jaji Makame?
3. Kama kuna sheria inayowabana watu wasiibe au kudanganya wakati wa uchaguzi, Makame kwa hili si Kadanganya?
4. Usalama wa Taifa walioshiriki kuchakachua kama wanafahamika, wanaweza pia kupandishwa kizimbani?

Najua kumshitaki AG ni ngumu maana yeye kasema ila hakufanya. Anaweza kusema "alikosea". Ila hawa UWT na Makame, kama kuna uwezekano basi hawa ndiyo wa kufikisha Mahakamani kwa kuvunja sheria za uchaguzi na KUIBA KURA.
 
hao ndio viongozi wetu wako kama ma-vuvuzela tu vile..
 
Kwani Chadema hawawezi kumshitaki kwa hilo tusi la NONSENSE au siyo tusi kisheria?

Kumbe huyu jamaa alipata A GENTLEMAN DEGREE halafu anajifanya kuongea kama alimaliza HAVADI. Anyway DEBE TUPU HALIACHI KUVUMA!
 
Ni kweli mfano unprocedural, unconstitutional,

Ningekuwa mimi ningesema: Much as I sympathize with Mr. Slaa regarding his assertion that the elections were not free and fair, there is nothing I can do, as much as there is nothing he can do. We are tied by the law, the law is very clear that, once the results have been announced they cannot be challenged in a court of law as provided for under Article 41 (7) of the constitution. I would humbly advise Mr. Slaa to take recourse to the law and see how this Draconian law can be amended.
 
Kauli zake tangu apewe wadhfa huo si tu kwamba ni za kishabiki (kwa chama tawala) na kijeuri kwa wapinzani bali hazina mantiki yenye kufikirisha. Angemsaidia sana bosi wake kama angekuwa akimkingia kifua kwa hoja zinazotoa changamoto kwa wanaotaka kupinga anachosema (hata kama ni kweli hakikubaliki au uongo). Vinginevyo hana tofauti na akina makamba, hiza, chiligati, n.k. Na kwa mwanasheria mkuu wa nchi kuwa hivyo just adds to the series of tragedies befalling this country. Yaani marais wetu wanashindwa hata kuteua smart lapdogs? :A S angry:
 

yes my lord!!!!!
 

Siyo Mr slaa ni Dr Slaa umekosea
 
Pass???!!! I wish we can follow the intelligence of all Kikwete appointees...

What's wrong the PASS pass garde. By the way I here even Kikwete graduated with the same thing in his Economics bachelor.
 
this post is so useful, especially the attachment. I have never had a soft copy of the constitution. Now I have. Hata mimi nimesikitishwa na madogo aliyorusha kwa CHADEMA bila kusema wanakiuka kufungun gani cha katiba. Kama mwana sheria alipaswa kuwa muangalifu sana hasa baada ya kula kiapo cha kuilinda na kuitetea katiba ya JMT.
 

wewe kaka nafikiri una kaushamba fulani hivi.

unafikiri kufaulu mitihani vizuri ndio kujua kazi. umeniudhi kwa maneno yako hapo juu mimi nitakuita hujaelemika na ni mshamba vile.

hata kama simpendi huyu mwanasheria mkuu lakini hapo juu umebore sana. maprofesa wote tunawajua mbona wanagaragazwa kwa kazi ni akina mrema?

usomi wenu huo umeua nchi kwasababu mnafikiri kusoma maanake ni kufaulu mitihani
 

Kama class/ division hazina maana ziliwekwa za nini? Au na wewe una pass nini?
 
Ndugu The Good,

Hakuna ubishi kuwa ukilaza au uwezo wa darasani unajionesha pia katika mambo yako. Ni muhimu usichanganye suala la mafanikio mitaani na suala la uelewa. Hapa suala linalo ongelewa ni uelewa. Rudi nyuma kidogo na ukumbuke jamaa uliokuwa nao darasani na uchambue uwezo wa IQ zao. Bilieve me uwezo au IQ za mtu hazitarajiwi kubaidrika sana. Kama mtu ni mzito wa kuelewa, mzito wa kuanalyse, n.k. basi hali hiyo itaendelea hivyo labda kwa miujiza. Kama mtu alikuwa mzuri wa kujenga hoja basi usitegemee kama mambo yatabadirika.

Lakini suala la kufanikiwa mitaani hilo ni suala lingine. Siamini kama Jakaya Kikwete alikuwa ni mtu mzuri katika kujenga hoja akiwa shuleni/chuoni tofauti na sasa anaonekana kuwa mtu mzuri wa kutoa majibu mepesi kwa maswali magumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…