Jakaya Kikwete bridge kama kumbukumbu ziko sawa liko kule njia ya Ifakara - Lupiro - Malinyi/Mahenge.Jina la jakaya kikwete limeitwa mambo machache sana ninachokumbuka ni taasisi ya kibingwa ya moyo JAKAYA KIKWETE CARDIAC INSTITUTE. Nyerere ndio anaongoza jina lake kuitwa maeneo mengi MAGUFULI hakustahili kwa namna alivyoboronga kwenye uongozi.
Mzee wa msoga anaonekana bora kwa kulinganishwa na utawala wa mzee wa chato ambaye alivuruga na kuharibu maendeleo ya watu wengi. Pesa ikawa chache mtaani.Vitu vichache na vidogovidogo wakati huyu ndio baba wa demokrasia tanzania.
Acha chuki madamhuyo fisadi
kibaka mwizi
mchawi muuaji
kafanya mema yepi?
ikiumaAcha chuki madam
Yakiitwa jina lake so what?Jina la Jakaya Kikwete limeitwa mambo machache sana ninachokumbuka ni taasisi ya kibingwa ya moyo JAKAYA KIKWETE CARDIAC INSTITUTE.
Nyerere ndio anaongoza jina lake kuitwa maeneo mengi MAGUFULI hakustahili kwa namna alivyoboronga kwenye uongozi.