Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Ndugu zangu Watanzania,
Jogoo 🐓 limeshawika Dodoma. Makada mbalimbali na wazee maarufu na viongozi mbalimbali mashuhuri wanaendelea kuunguruma na kuzungumza juu ya uimara , ushupavu, umadhubuti na uhodari wa CCM.
Lakini kubwa zaidi wote kwa pamoja na umoja wao wanaendelea kummiminia sifa na pongezi sifa na pongezi kubwa sana Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa uchapakazi wake na kazi kubwa aliyoifanya ndani ya muda mfupi wa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi.
Katika muendelezo huo wa kumwaga na kumimina sifa na pongezi kwa Nahodha wetu imara Daktari Mama Samia. Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Rais wetu Mstaafu amemimina sifa na kummwagia pongezi nyingi sana Rais Samia kwa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi.jambo ambalo limerahisisha sana safari ya CCM kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu na kusema kuwa ushindi wa CCM hauna mjadala mwaka huu.ni lazima CCM ishinde tuuuu.
Vile vile amempongeza Rais wa Zanzibar Mheshimiwa Daktari Hussein Mwinyi katika kutekeleza ilani ya CCM.
Kwa hakika CCM ni baba lao, ni Dude moja kubwa sana ambalo huwezi ukashindana nalo na ukalishinda. CCM ndio Tanzania na Tanzania ndio CCM yenyewe.ni ngumu sana kwa mwenye akili Timamu ukawa nje ya CCM. Ni raha sana kuwa CCM na mwana CCM. Najivunia kuwa mwana CCM.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.