Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,264
- 678
Miaka sita, saba kasoro
Mimi nauliza swali utakomaa lini? nchi yetu inazidi kurudi nyuma
Ulipomaliza miaka yako mitano uliema unajifunza, je hadi sasa unajifunza?
Hivi ukipewa nafasi ya kukutana naye unaweza kumwuliza swali kama hilo? Kumbuka kuwa unayemwita jina kavu hivyo ni Rais wako. Baba yako atabaki kuwa baba yako tu, hata kama humpendi.
Miaka sita, saba kasoro
Mimi nauliza swali utakomaa lini? nchi yetu inazidi kurudi nyuma
Ulipomaliza miaka yako mitano uliema unajifunza, je hadi sasa unajifunza?
Miaka sita, saba kasoro
Mimi nauliza swali utakomaa lini? nchi yetu inazidi kurudi nyuma
Ulipomaliza miaka yako mitano uliema unajifunza, je hadi sasa unajifunza?
Bado anajifunza,si alisema alikuwa anajifunza uraisi katika miaka 5 iliyopita ,inabidi afikishe miaka 10 ndio ahitimu uraisiMiaka sita, saba kasoro
Mimi nauliza swali utakomaa lini? nchi yetu inazidi kurudi nyuma
Ulipomaliza miaka yako mitano uliema unajifunza, je hadi sasa unajifunza?
na zile semina elekezi ambazo huwa anaongza kwa Mawaziri, makatibu wakuu wa wizara, wakuu wa mikoa na wilaya ina maana huwa anaenda kuwaambukiza ujinga zaidi???
waulize waliomsaidia kuiba kura hawakulijua hilo....ni wajinga pekee waliompigia kura huyo..kikwete wenu,siwezi kumwita rais labda rahisi..ulipompigia kura hukulijua hilo?:mod:
mimi nikikutana naye ntamtemea mate au ntampiga na kiatu maana ni adui yangu namba moja
Miaka sita, saba kasoro
Mimi nauliza swali utakomaa lini? Nchi yetu inazidi kurudi nyuma
Ulipomaliza miaka yako mitano ulisema unajifunza, je hadi sasa unajifunza?