miaka sita, saba kasoro
mimi nauliza swali utakomaa lini? Nchi yetu inazidi kurudi nyuma
ulipomaliza miaka yako mitano ulisema unajifunza, je hadi sasa unajifunza?
unairudisha nyuma mwenyewe kwa kujibwetekesha na kusubiri chakula uletewe mpaka mdomoni kwako. Na ukiendelea hivo mbona milele utalalamika njaa. Halafu ivi ulimpa kura yako? Mbona unakaa una muandika andika? Nyie simnasema raisi wenu ni slaa basi muulize uliyempa kura yako.
Sijawahi kuona uongozi usio na nidhamu kama wa Kikwete, viongozi waliopo nadhani ni viwete wa mawazo kama boss wao alivyo. Eti Jerry Slaa anamkoromea Magufuli na watu wanashangilia...strange. Badala ya kupiga risasi wezi kama Lowassa na Chenge na ********* Rostam wao ndiyo kwanza wanawasifia na kuwapa kazi vibaraka wao akina ....Nimechefuka!!!!!!!!!!!!
Miaka sita, saba kasoro
Mimi nauliza swali utakomaa lini? Nchi yetu inazidi kurudi nyuma
Ulipomaliza miaka yako mitano ulisema unajifunza, je hadi sasa unajifunza?