ZenaTulivu
Senior Member
- Jan 1, 2011
- 137
- 4
Kwa nini kila alitendalo raisi wengine hamtaki hata kulivumilia mkaone matokeo yake yakoje? JK tumia mamlaka yako ilionayo kikatiba, busara zako ukatuandikie katiba mpya mwaka huu.
Sisi tunachokitaka ni utulivu na amani nchini. Hao watu wanaokupinga karibu kwa kila ulitendalo nani kawambia unao ubia na mtu kwenye urais wako.
Sisi CUF tutakupa kila aina ya ushirikiano unaoutaka katika hili. Kwa nini raisi wa nchi hii asipokua mkristo ahangaishwe namna hii? Yaani watu hamna hata aibu?