brian mwakibete
Member
- Oct 30, 2015
- 35
- 5
itakuaje mkuuSangoma at work
Sangoma at work
Magamba yamechukua
Bado unazungusha mikono tu!?
Sasa hivi nazungusha dushe tuu
Katika idara ambazo mh Magufuli tunakuomba uwashughulikie hii mojawapoJalada la kesi limepotea mahakamani siku chache kabla ya hukumu?
Je kesi itaanza upya?
Nini kinafanyika?
Jalada la kesi limepotea mahakamani siku chache kabla ya hukumu?
Je kesi itaanza upya?
Nini kinafanyika?
Jalada la kesi limepotea mahakamani siku chache kabla ya hukumu?
Je kesi itaanza upya?
Nini kinafanyika?
lisipopatikana itakuwaje mkuu naomba jibu plsHebu jaribu kumpa mtu hela uone kama halitapatikana...
we mzushi kumbe kichwa kikubwa akili toneHebu jaribu kumpa mtu hela uone kama halitapatikana...