Kwa India kwenyewe hiyo ni pesa mingi haswa kwa wale wananchi wanaoishi road side, ukimpa mmoja wanaweza kuigombania hata kuuana!.
Nimeishi kidogo India, kule ndio kuna masikini, masikini kweli hata rupia moja hashiki.
Kutokana na wingi wa watu kule kila kitu cheap, kuanzia matibabu, gharama za wanasheria na film, video production kiasi kwamba kutengeneza tangazo zuri la TV hapa bongo ni more expensive kuliko India, hivyo its cheap kuwalipia hawa local models tiketi ya ndege kwenda kufanya shooting na production India kuliko hapa!. Huko hiyo 10 repees unamlipa mtu na anakubali, hapa hata ulipe 10,000 hailipi!.
Pasco.