Jama msaada wenu khs wapi inapatikana shule ya sec. Usevya!

Jama msaada wenu khs wapi inapatikana shule ya sec. Usevya!

G M S

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2011
Posts
502
Reaction score
53
Nimepata tu taarifa kuwa shule hii ipo mkoa wa Rukwa ila zaid ya hapo sijajua ni wilaya ipi na maeneo gani msaada plz nawasilisha.
 
Kuna shule inaitwa Isevya iko Tabora mjini sasa sielewi kama ulikuwa unamaanisha hiyo ama vipi?
 
Kuna shule inaitwa Isevya iko Tabora mjini sasa sielewi kama ulikuwa unamaanisha hiyo ama vipi?

hapana hii ni tofauti na hyo yenyenye inaitwa usevya!
 
ipo mkoa mpya wa katavi,zamani mpanda maeneo karibu na ziwa rukwa.
 
Ogopa kuwa mvivu wa fikra! Umeshindwa leta hoja za msing? katafute atlas, n' nidalili tunapaswa badil mtaala kama umefika hapo hata raman ya nchi yako hauijui? Pole......
 
Ogopa kuwa mvivu wa fikra! Umeshindwa leta hoja za msing? katafute atlas, n' nidalili tunapaswa badil mtaala kama umefika hapo hata raman ya nchi yako hauijui? Pole......

Kumbe siku hizi kuna Atlas zinaonyesha hadi shule zilipo..! Au ndo kujifanya unajua sana?
 
Haya bwa shekhe! Ukifika Mpanda uliza usafir wa Usevya utafika na mtima wako utatuzya
 
Back
Top Bottom