Jamaa aelezea safari yake ya biashara miaka 13 kwa picha nne

Bila connection hapa duniani huwez kutoboa...huwez jua wakat anaanza ni watu gan wa muhimu katika kupata taarifa walikuwa wamemzunguka...amekomaa na ameweza bigup
Nakubali bro bila connection mambo ni magumu sana, ndo naufanyia kazi sasa huu msemo na naziona dalili za mafanikio,, eenheee Mungu nisaidie!
 
Wakati anaanza biashara wengine ndio wanamaliza kidato cha nne,Ndani ya 13years amefika hapo.Wakati huo aliyemaliza form4 kipindi hicho bado anatembeza bahasha au anakula take home 400k.Maisha hayana formula
Acha kabisa yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…