Jamaa afukua kaburi la baba yake na kuchukua blanketi ili ajisitiri baridi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Joseph Salun (28) mkazi wa Kijiji cha Mwakwaru Ngalitati katika Wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro amefukua kaburi la Baba yake mzazi aliyezikwa miaka mitatu iliyopita na kisha kutoa mabaki ya mwili wa marehemu huyo nje ya kaburi.

Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa ndugu wa karibu marehemu zimeelea kuwa sababu Kijana huyo Joseph alieleza kuwa amefukua kaburi hilo kwa lengo la kuchukua blanketi lilozikwa nalo marehemu kwa ajili ya kujisitiri wakati huu wa hali ya baridi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro, Kamishna Msaidizi Hamisi Issahamethibitisha kutokea kwa tukio hilo.

 
Wololo,Sometimes the difference between animals and Humans is hair Thin.This one is behaving with the insanity of an animal.
 
Duuh! Subiri povu! Ushirikina au kichaa?
 
Vipi maneno ya gold scam yaendaje huko?? Wetaaa anasemaje?
 
Vipi maneno ya gold scam yaendaje huko?? Wetaaa anasemaje?
Mumeanza kufukua maiti, mara mnabaka eti Teleza mara mnanyofoa viungo vya alibino, mara mnachinja watoto yaani orodha ni ndefu ya mlivyo na roho chafu za kinyama.
 

Hebu uwe na adabu si kila habari itarushwa na mtu kama ww hapa jamii forum. Nyingine ziache zipitie Majukwaa mengine tuelimike hapa tudiskasi mambo ya uchumi, na mambo mengine ya maendeleo. Anyway kuna habari nyingi sana za wakenya kubaka, kuuwa wake zao, na mambo mengine ya ajabu na ya aibu sana, sioni ukiyarusha hapa. Habari kama hizi ni za chuki dhidi ya majirani ndio furaha kwako kuzirusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…