Jamaa ajikuta akivunja yai na mama yake mzazi

MSIMSHUTUMU KATUNGA..aya mambo yapo jaman..maaadili yamepotea now days..baba kula bnt sawa tu ata mama na kijana wake poatu..HAMJUI STATUS YA MAMA IKOJE..ANA MAADILI KWELI?
YUKOJE YUKOJE?LABDA NDO WALE WALE..?
inawezekana ikawa kweli msimbishie bure thou yaweza kuwa..chei cheiiiii shangazi...

Si kweli, kama umelewa chakali na ulikuwa na jimama na ni usiku wa giza, huyo mzazi unamtambuaje ?!

Mambo mengine ya laana hivi heri yawe solved na wahusika wakuu, kama ni kweli hahitaji ushauri coz huyo mama did it willingly! What the nigerians call abomination oooh!

kwani hata kuku huwa si wanakula mayai? Mama kasikia kuwa kijana wake ni mtaalam, basi akaona na yeye aonje. Mhh! Ila hii laana tu,

Jukwaa lilkilalamikiwa limevamiwa na watoto, mnanuna!

Hebu acheni bhange, wengine sisi tunakuja huku kuondoa stress afu wewe na mabandiko yako hovyo unaongeza hasira

Khaaa!

Naona unajifunza kuandika thread,ila hadithi ya nzuri hengo!nakusamehe kwa kuwa leo ni j2,ingekuwa ktkt ya wiki,ungekula ban.

Najua katika Jamvi hili mpo mijimama na mifataki msio na mipaka na mnacheza michezo hiyo kila kukicha na hamtaki kubadili tabia.Huyu mtu yupo na kweli yamemkuta.Kama mnamwitaji si vigumu kumpata kwa mienendo yake.Wenye nia njema yakumrekebisha mjitokeze.

Huyu atakuwa mwenyewe, hii haijakaa kuhadithiwa

Padri@The priest kahubili kanisani kurekebisha tabia za watu.Usiwe chanzo cha matatizo.Au ndo maporoko ya maadili hadi kwa viongozi wa dini?Je, waumini wajifunze nini kwako?
Naona unajifunza kuandika thread,ila hadithi ya nzuri hengo!nakusamehe kwa kuwa leo ni j2,ingekuwa ktkt ya wiki,ungekula ban.

waambie waendelee kula raha ya duniani kabla hawajafa.

Ajabu ni mlevu kupata nguvu ya kufanya mambo!!

Jukwaa lilkilalamikiwa limevamiwa na watoto, mnanuna!

Hebu acheni bhange, wengine sisi tunakuja huku kuondoa stress afu wewe na mabandiko yako hovyo unaongeza hasira

we una umri gani? Una zaidi ya 120?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…