Jamaa ajilipua kwa bomu kwenye harusi huko Pakistan

Kwa wale ambao hawajui kwa nn Tanzania bara inatumia nguvu nyingi kuitawala Zanzibar hii ndo sababu.

Mkiwazingua hawa jamaa, Tanzania bara haitatawalika.

Unaweza kuwa kama Somalia
Acha uongo
 
JINA PEKEE ALIMTAMBULISHI MTU DINI YAKE.
Kuna muhadhiri alikuwa anaitwa imani Petro hapa Tanzania utasema ni mkristo ila alikuwa muislam.JINA SIO KIGEZO CHA DINI.
Elimika
 
Kwahiyo walioshiriki katika hilo zoezi la kupiga watu oct 29 wote walikuwa waislamu?
Acheni chuki dhidi ya dini flani na hili ndio mnajikuta kwenye wrong target,
waziri wa ulinzi wa wakati huo alikuwa upande wenu, walioathirika wamo wa dini zote,


Kwenye hili nakubaliana nawe kwa 100%. Kilichowaua watu Octoba 29 siyo uislam wa Samia, bali ni uovu wake binafsi. Na alifanya hivyo bila ya hisia za kidini. Alifanya uovu huo akishirikiana na watu wenye majina ya dini zote. Na aliua watu wa dini zote, na wasio na dini pia. Tutakuwa tumepoteza uelekeo tukiamini kuwa mauaji ya October, na utekaji wote ambao umekuwa unaendelea una uelekeo wa kidini. Ali Kibao alikuwa muislam, na huyo mama alimwua na kusema kuwa kifo ni kifo tu.

Huyo bibi baada ya kufanya mauaji nffyo alienda kutafuta ngao ya dini ili kugicha uovu wake, kwa kuwatumia wale mashekhe ubwabwa wa jumuia ya CCM, BAKWATA.
 
😂😂😂😂😂 Dah umeamua umfokee kwa sauti kali sana.
 
Joseph kibwetere - uganda

Kanisa ( movement for the restoration of the ten commandments of god)

Aliteketeza kwa moto zaidi ya watu 700+
Huyo ni Kibwetere usimchanganye na wakristo mkuu. Plus lile ni kusanyiko lake sio kusanyiko la idhini ya wakristo wote ndio maana ikaitwa ni religious cult.

Je wachambuzi watakuwa sahihi wakisema wataleban au Al Qaeda wanawakilisha uislam katika shughuli zao? Je, Al Qaeda sio kwamba ni kikundi kinachojinasibisha na uislam ili kuhalalisha uhalifu wake dhidi ya jamii na wanadamu wote?
 
Nasubiri majibu ya maswali yako kutoka kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…