senkoP
Senior Member
- Aug 28, 2017
- 176
- 189
Jamani kuna mshkaji hapa akitafuna ile kitu lazima alie kwa sauti tena kubwa mpaka ina leta taharuki kwa jamii, akifika kileleni sasa ndio anatoa lisauti likubwa mpaka majirani tunashangaa kuna nini!
Halafu huyu jamaa hajali pamoja na kututia aibu? Kuna wataalam humu huyu jamaa tunaweza kumsaidieje? Na ni matatizo gani hayo? Na tumemshauri asichukue madem kutokana na hilo tatizo lakini hasikii… rahasha kuna maajabu