Jamaa akila ile kitu lazima alie

senkoP

Senior Member
Joined
Aug 28, 2017
Posts
176
Reaction score
189
Jamani kuna mshkaji hapa akitafuna ile kitu lazima alie kwa sauti tena kubwa mpaka ina leta taharuki kwa jamii, akifika kileleni sasa ndio anatoa lisauti likubwa mpaka majirani tunashangaa kuna nini!

Halafu huyu jamaa hajali pamoja na kututia aibu? Kuna wataalam humu huyu jamaa tunaweza kumsaidieje? Na ni matatizo gani hayo? Na tumemshauri asichukue madem kutokana na hilo tatizo lakini hasikii… rahasha kuna maajabu
 
Andika vizuri kwanza kiongozi Mimi bado sijaelewa.
 
Akuchukue wewe?
Acha kujipigia debe🏃🏃
 
Au usikute jamaa ananyanduliwa na midume menzake!

Nyie mnajua ananyandua kumbe anapigwa bakora.
 
Acha tabia za chabo
 
Yawe
Yaweza kuwa unaongea ki 3rd party, yaani nafsi inayoongelewa ikawa ni wewe mwenyewe mkuu!

Kikubwa usizungushe mada, omba msaada.
 
Dah,,,[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…