may b ata unaeza kuta mshkaji alikua seduced, ukichangia na alikua tungi, xo mkewe amsamee tu, na pia mshkaji kwa kweli ajipange upya, so vizur ata kidogo, embu mshkaji ajiulize ingekua vp kamkuta mkewe kagawa nje? haifai 4 sure
mwambhe amsamehe tu mmewe kwanza anajali sana,pili amekiri kosa na kuomba msamaha,tatu ndo kwanza wanainza safari ya ndoa,huo ni upepo utapita tu.bado kuna mengi na makubwa sana atakutana nayo anapaswa kuwa mvumilivu.
Nilishaanza kukulia timing kitambo! So usijaribu kunikatisha tamaa kabisaaa, afadhalì uwe mpole nature ichukue mkondo wake!Kama ni hivi siolewi aisee!
kwa kuwa alilewa,ni vizuri amsamehe.ila,kwa sharti la kuwa aache pombe.maana siku nyengine,akilewa na atarudia hayo hayo na condom ataisahau.maisha gani hayo ya kupombeka tu.kwani ana tatizo gani la kumfanya awe analewa kupindukia?
Wewe purple wewe, temea mate chini.
Nilishaanza kukulia timing kitambo! So usijaribu kunikatisha tamaa kabisaaa, afadhalì uwe mpolo nature ichukue mkondo wake!
Nilishaanza kukulia timing kitambo! So usijaribu kunikatisha tamaa kabisaaa, afadhalì uwe mpolo nature ichukue mkondo wake!
mate ya nini Bondpost hebu jaribu kujiuliza ingekua ni huyo rafiki yako amemkuta mkewe katika hali inayoendana na hiyo angemsamehe??tena mkewe angetimuliwa usiku huo huo bila hata ya kufikiria mara mbili..
Sasa inakuaje mke ndo afuge maradhi?do you think hili litamfanya aache pombe??hiyo ndoa ikiendelea do you think imani ya mke kwa mumewe itakua kama awali??itakua ni ndoa for the sake of the child..
Tatizo letu wanawake hua tunajifanya mama huruma na wakati sisi hatuhurumiwi!
Ndo mana mie nasema to me biashara ya ndoa hailipi!
Kaka huyo binti wa kichaga tena hao si ndo wanasemaga we nenda kote ila ulete hela nyumbani. Hapo anapiga mkwara tu, ukimuangushia euro kadhaa mezani anatulia tuli.
Nashukuru kwa ushauri ndo maana nimemkubalia mkewe aje kukaa kwangu mke wangu ampe kampani labda distance itawarudishia penzi lao.
Safi kwa kumsaidia ila na wewe usipate advantage ya matatizo ya mwenzako ukamlia mke wake hapo kwako.
Naomba nikuulize, umeshudia wanawake wangapi wake za watu wanatoka nje ya ndoa zao na kufanya zinaa hata na watoto wadogo? Madereva wao? Walinzi hata shamba boy? Pili unadhani waume zao hawafahamu kinachoendelea? Mie naamini wanaume huwa tunaugulia kimyakimya hatupayuki mapungufu ya wake zetu, hilo ni tatizo sana ila amini nakuambia nimeshuhudia baadhi ya wanaume wakiwafuma wake zao katika mambo mbalimbali na kuwasamehe, hapa napokuambia, nina rafiki yangu kamfuma mkewe mara mbili analiwa denda kwenye gari, kamsamehe pamoja alitoa kichapo ila leo wana ukimwi na mke ndo ana hali mbaya sana, anytime tunamzika. Usidhani wanaume huwa hayawakuti, ndoa kama unaitaka, you are in for it.
Mwambie asamehe tu alikuwa anapiga self service....
Dah huyu is mwizi ni kibaka
hahahahaa naona kama somo linaniingia hivi ati umesema euro?