Jamaa alazimishwa kuoga!

Ab-Titchaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2008
Posts
14,630
Reaction score
4,253




Scarcity of water has led many to avoid bathing. However residents of Kisumu, not pleased with one man's oduor,ganged up and bathed the boda boda cyclist.

 
Hahaaaa, alikuwa nanuka kibeberu beberu nini? Du hii kali. Labda aliambiwa asipooga tapata wateja wengi, Wenzake wakamwonea wivu anavyo pata wateja, walipogundua siri ya kupata wateja wakamwogesha. Tuambie hajawashtaki kwa kumwaribia biashara?

Ha haa haaaaaaaaaaaaaaaaa. Good weekend to all
 
...some things have - have to be done!!..... lol
 
Kule kwenye kona ya mahusiano kuna memba alikuwa na tatizo kama hilo... Bora akapita hapa kupata soln...
 
Kinachonishangaza na hawa mabwana ni kwamba wanamuosha mwenzao
huku kaketishwa kwenye tope..sasa usafi wapi kwa wapi hapo?
 
Ni muhimu mtu kuwa msafi eti!Hapo ni alert kwa wahusika kumake changes.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…