Jamaa alijitahidi kuchambua,anastahili pongezi!!

Hivi mkuu huwa unalala saa ngapi? Maana mda wote nakukuta online halafu kitu kizuri zaidi kila post wewe ni wa kwanza kuchangia mawazoπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚

nilianza ku-note hili jambo kama wiki tatu zilizopita.
Kuna post kama 50 hivi ambazo huyu Mkuu Joseverest anakuwa wa kwanza ku comment.
Hii haiwezi kuwa coincidence.
 
Naona uzi unatakiwa kubadilishwa jinaπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…