Jamaa amefanana na marehemu Kanumba

TIQO

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
13,786
Reaction score
2,095
9
Hii ni movie mpya ambayo imeingia sokoni siku mbili zilizopita, imetengenezwa na kampuni ya Marehemu Steven Kanumba, humo ndani wameigiza Seth mdogo wake Kanumba, Rose Ndauka, Muhogo Mchungu na Rammy wa kwanza kushoto ambae ndio anatajwa na wengi kwamba kafanana na marehemu Kanumba.

.

.
 
kama huna la maana soma tu michango ya wengine. kuna ajabu gani binadamu kufanana, mbona JK anafanana na Membe?



 
Kweli kabisa wamefanana kabisa kama ndugu vile,nimeamini kweli duniani wawiliwawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…