MR.NOMA
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 339
- 505
Wakuu habari za Leo! This is true story.
Imetokea hivi karibuni hapa jijini Dar, Kuna jirani yangu amenisimulia nimshauri afanyaje maana, hivi karibuni akiwa anaingia kupata Moja moto moja baridi kwenye glossary ya jirani yetu mwingine ambaye ni Mjeda na amemfungulia glossary mke wake hapohapo maskani Kwa nje ya fensi.
Basi alipofika akamuomba yule mama amkumbatie ( watoto wa mjini wanaita kumuwao) basi mara pap wakapeana wao jamaa akiwa anaendelea kushikilia kiuono cha yule mama, ghafla akasikia mtu anakata miti kwa panga, kucheki ni mme wa yule mama na alikuwa akiwatazama wanavyopeana kumbatio.
Na mpaka leo inaisha wiki hajamuuliza lolote jamaa, hivyo mwana anaomba nimshauri afanyaje maana kiuhalisia hana uhusiano wowote na yule mama ila ilitokea tu siku hiyo, Sasa hofu ya jirani yangu ni jamaa amelichukuliaje?
Na kwanini alikaa kimya hakuwasemesha?
Na anawaza nini?