Jamaa ameshindwa kulipa pesa ya bia kilichomkuta hiki hapa

Jamaa ameshindwa kulipa pesa ya bia kilichomkuta hiki hapa

View attachment 2137861
Download
720

JAMAA AMESHINDWA KULIPA PESA YA BIA KILICHOMKUTA HIKI HAPA
Jamaa bia zikimuisha amtafute wakili tuone PGO ya kwenye baa inasemaje mteja akishindwa kulipia bia alizokunywa! Je avuliwe nguo kwa kuzichana na panga!? Pili, apigwe na ubapa wa panga mgongoni?
Binafsi sioni kama nisawa! Mhusika angetumia utaratibu mzuri kuliko wa kumuweka maungo ya mtu mzima huyo wazi kwa kutumia nguvu!
Ni mtazamo tu!
 
Lipelekwe jela kwa udhalilidhaji
 
Back
Top Bottom