Jamaa bia zikimuisha amtafute wakili tuone PGO ya kwenye baa inasemaje mteja akishindwa kulipia bia alizokunywa! Je avuliwe nguo kwa kuzichana na panga!? Pili, apigwe na ubapa wa panga mgongoni?
Binafsi sioni kama nisawa! Mhusika angetumia utaratibu mzuri kuliko wa kumuweka maungo ya mtu mzima huyo wazi kwa kutumia nguvu!
Ni mtazamo tu!