Jamaa amfungukia mange baada ya kuendelea kumdiss zali.

Mkuu ndio nimejiunga na insta juzi,unaingiaje inbox huko?
Ukifungua app ya insta fanya kusearch jina analotumia Zari liko hapo chini kwenywe picha kisha lifungue upande wa kulia juu utaona vinuka vitatu vifungue ukisha bonyeza hapo kwenye vinukta itatokea hivi bonyeza kwenye send massage na endelea kuwasiliana nae
 



asante sana mkuu
 
Kuachana ni ishara ya uimara???

HIZI AKILI ZA KUKOPA HIZI!
 
Msisahau kuwa dini inaruhusu jamani then wote ni Muslim kwaiyo anaweza kuongeza wawili wa ziada
 
Kwa akina dada, ushauri wa kuachana na mme wa ndoa si wa busara kabisa. Mandiko matakatifu, kuhusu uumbaji unasisitiza ummoja wa nafsi mbili ya mwanaume na mwanamke. Athari za kuishi single kwa mwanamke, kisaikolojia ni mbaya sana. Teba athari zake kwa watoto ni mbaya maradufu.

Kabla wana ndoa hawajaamua kutarakiana, ni vema wakakumbuka siku za mwanzo za mahusiano yao.
 
Nahisi kama huyo muandikaji alitaka kumalizia 'stupid whore'
 
Ndoa ukiweka public jiandalie maumivu binadamu atakuombea mabaya kwa kile asichokiweza, atataka uone uchungu kama yeye kukikosa icho ulichonacho ,private and confidential should remain so and never otherwise
 
Wasichana/wanawake tunakazi sana
 
Duh hv kumbe wapo hadi wanaume wameshupalia hili jambo[emoji23][emoji23]duh hatari.
 
Maskini yake ngoja waje wamtukane kuanzia mababu zake mpaka wahenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…