Jamaa analea mtoto wangu akizan ni wake:

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
Niltokea kufanya field maeneo ya zanzibar miez kama 6 imepta now. Nilkaa pale kwa mda wa miezi miwwil. Tulpendana na dada mmoja. Lakn nlmwambia ukwel kuwa nina mpenz wangu arusha. Tulikubaliana kuwa na uhusiano kwa kpnd hcho cha miez mitatu na ntakaporud arusha kila mtu na mambo yake. Kweli nilmalza fld, lakn kabla cjaondoka tayar alshakuwa mjamzto. Alkubali kulea. Lakn naondoka tu kapata mwanaume tena kamweka ndan na soon wakafunga ndoa. Jamaa anajua ni ya kwake na akalea mpaka mtoto kazaliwa. Mama ndo anajua ukweli. Nastaki kuulza kuhofu kuvunja ndoa takatifu. Shida ni mtoto wangu baadaye.changien kwa ustaarabu wana jf:.
 

Unajuaje na wewe kama ile mimba ni yako?
Na unaelewa kama yule mwanamke alikuwa anawachanganya wewe na huyu aliyemuoa?
Je unajuaje wewe ndo ulikuwa unammiliki peke yako?
Je huyu mwanamke ulimkuta bikra?
 
Unajuaje na wewe kama ile mimba ni yako?
Na unaelewa kama yule mwanamke alikuwa anawachanganya wewe na huyu aliyemuoa?
Je unajuaje wewe ndo ulikuwa unammiliki peke yako?
Je huyu mwanamke ulimkuta bikra?
Hehehehe....

Mwambie bana, kuwa wajinga ndio waliwao. Kama anajidanganya ni mwanae atume hela za matumizi eti:mimba::mimba:
 
umekipata ulicho kitafuta, sasa utata mtupu haya kajaribu kukomboa huyo mtoto uone shughuli yake
 
Hehehehe....
Mwambie bana, kuwa wajinga ndio waliwao. Kama anajidanganya ni mwanae atume hela za matumizi eti:mimba::mimba:

Wanawake wa siku hizi wajanja sana, wanatumia kigezo cha mimba kujipatia mahitaji yao muhimu kwa kigezo alisha tembea nae sasa jamaa apande Boat akamcheck huyo mtoto atashangaa kuona hafanani na mama wala baba wala wajomba zake huyu jamaa unacheza na wadada wa .com wewe
 
Da! Huyu jamaa ni muongo aisee! Eti Mimba hadi kazaa, miezi sita??????? Labda alianza kummega kabla hajaonana naye!!!!
 
Mkuu tulia vuta punzi kisha uandike thread yako upya bila kudanganya kitu. Hii hapa umeikosea, jitahidi uongo wako ufanane na ukweli.
 
Mkuu tulia vuta punzi kisha uandike thread yako upya bila kudanganya kitu. Hii hapa umeikosea, jitahidi uongo wako ufanane na ukweli.

Anajipanga kwa edit uongo uwe ukweli
 

Je ukipanda Mnazi au Mchungwa kwenye shamba la mtu halafu baada ya muda ikaanza kutoa matunda utaweza kwenda kuvuna na kudai eti wewe ndie uliyepanda? Utaeleweka?
 


may be bado unausingizi!!! au unahang'over za jana, huwezi kutuletea habari za kufikirika tuuu ilimradi ionekane kweli, pamoja na hapo story yako inaonekana ya uongo mtupu, eti ndani ya miezi mitatu bint kapata mtu mwingine then kamuweka ndani na kaoa...duuu haya bwana
 
Ndyo alikuwa bikra ndo maana naamini. Alikuwa na miaka kama 19 hv by then.
 

Wewe huna haja ya kuuliza wala kuomba ushauri..

Kama ulithubutu kumsaliti mchumba wako,hata huyo mtoto lazima nikushangae unavyomuulizia.. Na huyo mwanamke alizaa mtoto wake,si wako.. We hoja yako ni mbegu ulizomwaga..?
Ubaba si mbegu tu... Nyie ndiyo mnaotuangusha wanaume tunaonekana si waaminifu..
 
Hehehehe....

Mwambie bana, kuwa wajinga ndio waliwao. Kama anajidanganya ni mwanae atume hela za matumizi eti:mimba::mimba:


Hata mimi "ananchekesha"- Yuko wapi Faiza Foxy? siku hizi simuoni na msemo wake huo!
 
hvi mimba ni miezi mingapi? Ebu cheki mathematics hapo
mr maths
Inategemea umeipata kipindi gani:
Masika au kiangazi?
Mchana au usiku

Pia inategemea na mazingira ilipopatikana
Gesti au Hotelini au home
Kitandani au sakafuni

Pia inategemea na kitoa mimba husika
Kibamia au Mshobobo

Na hali ya kitoa mimba
Kimetahiriwa au govinda

Ukipiga mahesabu hapo utapata jibu mathematically.
 

Ndani ya miezi sita mmekutana, mkapendana, mkapeana mimba, dada akaolewa, mimba ikakua, mtoto akazaliwa na sasa analelewa na jamaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…