Hehehe... watu wengine wana shahaw.a kama za jogoo....:crazy::crazy:Ndani ya miezi sita mmekutana, mkapendana, mkapeana mimba, dada akaolewa, mimba ikakua, mtoto akazaliwa na sasa analelewa na jamaa?
Duuu au unaandika movie
Hata mimi "ananchekesha"- Yuko wapi Faiza Foxy? siku hizi simuoni na msemo wake huo!
Ila kulea mtoto ambaye si wako pasipo kujua kwa sababu tu umeaminishwa kuwa ni wako ni mbaya sana.
Hehehe... watu wengine wana shahaw.a kama za jogoo....:crazy::crazy:
hahahhaha duu humu ndani kunavituko kweli!Inategemea umeipata kipindi gani:
Masika au kiangazi?
Mchana au usiku
Pia inategemea na mazingira ilipopatikana
Gesti au Hotelini au home
Kitandani au sakafuni
Pia inategemea na kitoa mimba husika
Kibamia au Mshobobo
Na hali ya kitoa mimba
Kimetahiriwa au govinda
Ukipiga mahesabu hapo utapata jibu mathematically.
Ila kulea mtoto ambaye si wako pasipo kujua kwa sababu tu umeaminishwa kuwa ni wako ni mbaya sana.
Unajuaje na wewe kama ile mimba ni yako?
Na unaelewa kama yule mwanamke alikuwa anawachanganya wewe na huyu aliyemuoa?
Je unajuaje wewe ndo ulikuwa unammiliki peke yako?
Je huyu mwanamke ulimkuta bikra?
Watu wanasema "Usichokijua, hakiwezi kukuumiza."
It's just not fair bana.
Mwanamke wa namna hiyo ana moyo ya kiuaji kabisa. Nitampa udhuru tu kama na yeye hajui kiukweli nani alimpa mimba maana hiyo nayo hutokea.
Lakini ajue halafu adanganye? Kwa manufaa ya nani hasa?
Kwa manufaa yako, yake na ya mtoto.
Pengine ameona kwamba we unafaa zaidi kuwa baba wa kweli wa huyo mtoto. Alafu hataki kuvuruga mahusiano yenu kwa namna yoyote ile. That way. . .Wewe unapata kuwa baba na kuendelea na mwanamke wako unaempenda, mtoto analelewa na mwanaume ambae anampenda mtoto na mama ameridhika nae, mama anapata kuwa karibu na mtoto pia mwanaume anaempenda bila kuchanganya mambo.