Kwa manufaa yako, yake na ya mtoto.
Pengine ameona kwamba we unafaa zaidi kuwa baba wa kweli wa huyo mtoto. Alafu hataki kuvuruga mahusiano yenu kwa namna yoyote ile. That way. . .Wewe unapata kuwa baba na kuendelea na mwanamke wako unaempenda, mtoto analelewa na mwanaume ambae anampenda mtoto na mama ameridhika nae, mama anapata kuwa karibu na mtoto pia mwanaume anaempenda bila kuchanganya mambo.
Niltokea kufanya field maeneo ya zanzibar miez kama 6 imepta now. Nilkaa pale kwa mda wa miezi miwwil. Tulpendana na dada mmoja. Lakn nlmwambia ukwel kuwa nina mpenz wangu arusha. Tulikubaliana kuwa na uhusiano kwa kpnd hcho cha miez mitatu na ntakaporud arusha kila mtu na mambo yake. Kweli nilmalza fld, lakn kabla cjaondoka tayar alshakuwa mjamzto. Alkubali kulea. Lakn naondoka tu kapata mwanaume tena kamweka ndan na soon wakafunga ndoa. Jamaa anajua ni ya kwake na akalea mpaka mtoto kazaliwa. Mama ndo anajua ukweli. Nastaki kuulza kuhofu kuvunja ndoa takatifu. Shida ni mtoto wangu baadaye.changien kwa ustaarabu wana jf:.
Aiseeee...nikija kugundua ntamwagia ile kemikali.
bikra zanzibar miaka 19??umeliwa,bikra ya nyuma walikua washaitoa hiyo mkuu,kuhusu mtoto jipange labda baada ya hapo utaanza kuombwa hela ya matumizi bila kumuona mtoto,siku ukija stuka umeliwa mara mbili(street university/com)Ndyo alikuwa bikra ndo maana naamini. Alikuwa na miaka kama 19 hv by then.
Yes the truth is good but it's kinda hard to face it when you don't know what will come out of it. Wapo ambao hua wanatamani kusema ukweli night and day ila wanaogopa kupoteza watu ambao ni muhimu kwao kwa kushindwa kujua watareact vipi.Insecurity as usual...we don't like to face the truth ingawa ukweli ndo unatuweka kuwa huru zaidi. Itakuwaje kama nikijua mtoto sio wangu? I will not hate the innocent kid....
Hahahahah. . . Ngoja nianzishe thread ya kukanya hii tabia.
Swali: Akiwa muwazi akakwambia ukweli unaweza ukawa tayari kuendelea na mahusiano yenu kama mlivyokua mmepanga awali?
Binafsi hakuna kitu ninachokipenda zaidi ya uwazi na ukweli. Mtu anapokuwa mkweli kwangu najisikia kuheshimiwa. So no problemo at all if she were to come clean....though the sooner the better.
Niltokea kufanya field maeneo ya zanzibar miez kama 6 imepta now. Nilkaa pale kwa mda wa miezi miwwil. Tulpendana na dada mmoja. Lakn nlmwambia ukwel kuwa nina mpenz wangu arusha. Tulikubaliana kuwa na uhusiano kwa kpnd hcho cha miez mitatu na ntakaporud arusha kila mtu na mambo yake. Kweli nilmalza fld, lakn kabla cjaondoka tayar alshakuwa mjamzto. Alkubali kulea. Lakn naondoka tu kapata mwanaume tena kamweka ndan na soon wakafunga ndoa. Jamaa anajua ni ya kwake na akalea mpaka mtoto kazaliwa. Mama ndo anajua ukweli. Nastaki kuulza kuhofu kuvunja ndoa takatifu. Shida ni mtoto wangu baadaye.changien kwa ustaarabu wana jf:.
Niltokea kufanya field maeneo ya zanzibar miez kama 6 imepta now. Nilkaa pale kwa mda wa miezi miwwil. Tulpendana na dada mmoja. Lakn nlmwambia ukwel kuwa nina mpenz wangu arusha. Tulikubaliana kuwa na uhusiano kwa kpnd hcho cha miez mitatu na ntakaporud arusha kila mtu na mambo yake. Kweli nilmalza fld, lakn kabla cjaondoka tayar alshakuwa mjamzto. Alkubali kulea. Lakn naondoka tu kapata mwanaume tena kamweka ndan na soon wakafunga ndoa. Jamaa anajua ni ya kwake na akalea mpaka mtoto kazaliwa. Mama ndo anajua ukweli. Nastaki kuulza kuhofu kuvunja ndoa takatifu. Shida ni mtoto wangu baadaye.changien kwa ustaarabu wana jf:.
Hahaha toka atoke zenji jamaa ni miezi 6 now kasema hapo juu sijui mwanamke kazaa njiti
Inanikumbusha tukiwa O level msela kagonga mtoto wa mjeda aliekuwa f 2 wakati sie tupo F3, ilikuwa siku ya jmos Jumatatu dem anamwambia msela kuwa amepata mimba so ampe buku 40 akaitoe au anaenda kumwambia dingi( mjeda) kuwa ana mimba yake, jamaa bila hata kuwauliza wale waliosoma biology topic ya reprod. akachukua pesa akampa, baadae ndo akagundua aliingizwa mkenge.Mbuzi miezi 6, na anaingilika kwa udhalimu, kwanza mwambie huyo aingie kwa jf
Nilifikiri ni mimi tu nisiyejua kukokotoa hisabati!!hvi mimba ni miezi mingapi? Ebu cheki mathematics hapo
mr maths
hvi mimba ni miezi mingapi? Ebu cheki mathematics hapo
mr maths