Jamaa analea mtoto wangu akizan ni wake:


Wewe huna haja ya kuuliza wala kuomba ushauri..

Kama ulithubutu kumsaliti mchumba wako,hata huyo mtoto lazima nikushangae unavyomuulizia.. Na huyo mwanamke alizaa mtoto wake,si wako.. We hoja yako ni mbegu ulizomwaga..?
Ubaba si mbegu tu... Nyie ndiyo mnaotuangusha wanaume tunaonekana si waaminifu..
 
Jamaa anapractice Ushigongo. Labda kwenye post nyingine atatoka vizuri zaidi.
Hapa akaanze kutunga hadithi ingine yupo post ya 19 na kajiunga mach safi sana Mods waipeleke jokes
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…