Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Ilikua hivi, alimchumbia akiwa mwanafunzi, ahadi kibao walipeana mpaka ndoto ilipotimia ya jamaa kupeleka posa na kukipa mahari. Mke alielewa hali ya jamaa na alihamia baada ya hatua za mahari kukamilika.
Sasa anataka kusimea mafunzo ya upishi kama ahadi zao walizoahidiana kabla ya ndoa. Mume mishe zimegoma kabisa. Mke alimuomba auze shamba la urithi ili amlipie ada, akimuahidi akimaliza masomo na kuanza biashara ya mama ntilie itawatoa. Mke amesisitiza kuwa hii ndiyo future yake.
Mume anasema kama huna future rudi tumboni kwa mama yako usubiri kuzaliwa. Shamba la urithi hili siuzi. Alilima babu yangu na baba yangu leo mimi niliuze!