Jamaa anaomba msaada!!

Bollo Yang

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Posts
440
Reaction score
51
Katika pita pita yangu kwenye mablog mbali mbali nikakuta hii kitu, nikaone niitupie hapa jamvini watau watoe ushauri!
 
Holy crap...

Labda amfate tuu jamaa yake huko mwanza... au atafute mwingine...
 
Amkimbilie Bwana Yesu.Ni jibu la mambo yote!Hakuna neno gumu lolote la kumshinda Mungu.
 
inasikitisha lkn angeacha siku ile ile na kazi basi kuliko kuendelea kwani kazi zimeisha pole yake
 
Holy crap...

Labda amfate tuu jamaa yake huko mwanza... au atafute mwingine...

Apana asimfuate, avumilie tu hali itatulia baada ya muda. AACHE KABISA KAMCHEZO HAKO.ASIRUDIE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…