Jamaa anasikitika kwanini alivishapete ya uchumba!!

Unamanisha nini hapo?au huyo anaesikitika ikiwa ni Mume mtarajiwa hakuna asilolijua hata moja kuhusu mkewe mtarajiwa,ss kinachomsikitisha nini?
asitulete wazimu wake sie....
 
siiijui labda atabadilika tho hizi tabia muda mwingine ni inborn
 
Mtoa mada jaribu kuwa muwaza, sasa sisi tuelewe nini hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…