Jamaa anatoa kipigo halafu anamalizia na tendo.....

Jamaa anatoa kipigo halafu anamalizia na tendo.....

EJM_

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
3,836
Reaction score
2,100
Juzi kuna rafiki yangu mmoja kanipa stori kwamba wana rafiki yao mmoja wa kike huwa anakula kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa boyfriend wake kiasi cha huyo dada kuwa na alama kama amewahi kuugua ule upele wa mwili mzima.

Sasa balaa ni kwamba jamaa akishamtembezea kipigo hivyo hata kama ni kwa kosa la kipuuzi namna gani lazima amalizie hasira zake kwa kufanya mapenzi na huyo mdada. Halafu balaa ni kwamba mdada kakolea mbaya........................
 
Juzi kuna rafiki yangu mmoja kanipa stori kwamba wana rafiki yao mmoja wa kike huwa anakula kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa boyfriend wake kiasi cha huyo dada kuwa na alama kama amewahi kuugua ule upele wa mwili mzima.

Sasa balaa ni kwamba jamaa akishamtembezea kipigo hivyo hata kama ni kwa kosa la kipuuzi namna gani lazima amalizie hasira zake kwa kufanya mapenzi na huyo mdada.
Halafu balaa ni kwamba mdada kakolea mbaya........................
Tatizo liko hapo maana hata kile kipigo nacho inawezekana dada wa watu kimkolea ile mbaya
 
kumbe wanawake wenye maadili bado wapo eeh? huyo kaka ana bahati sana,mashaallah!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tatizo liko hapo maana hata kile kipigo nacho inawezekana dada wa watu kimkolea ile mbaya
Hahahahaaa halafu huyo mtoa stori anasema kuna siku huwa anawauliza kwanini anashindwa kumuacha mshikaji pamoja na kumpa balaa zote hizo. Inasemekana siku moja kampa kisago mbaya club mpaka akamvua nguo zote, lakini kesho yake wakaonekana mtaani wanatembea wameshikana viuno. Dah mapenzi..............
 
basi kama ni hivyo msiwaingilie wala msijiulize...
 
tukijisimamia tunaambiwa watoto wa .com, hatukai na waume talaka kila siku. na me nimeamua kuwa mwanamke mwenye maadli, hata nikiletewa mke mwenza ndo kwanza nawawekea maji waoge pamoja!
Maadili ya hivyo? Dah MAKUBWA..............
 
tukijisimamia tunaambiwa watoto wa .com, hatukai na waume talaka kila siku. na me nimeamua kuwa mwanamke mwenye maadli, hata nikiletewa mke mwenza ndo kwanza nawawekea maji waoge pamoja!
Teh teh teh "WILL YOU MARRY ME"
 
wote wawili ni wagonjwa wa akili
Hata mi naona tena sio tu kama wanahitaji KIKOMBE hawa wanahitaji NDOO kabisa...................
 
ndio mapenzi ya kikurya hayo!!wala hakuna tatizo hapo
 
ndio mapenzi ya kikurya hayo!!wala hakuna tatizo hapo
Habari zinasema mwanaume ni mkurya lakini mwanamke sio inamaana naye karithishwa ukurya eeh
 
vipondo tu? hata cheatings tunavumilia, achia mbali mizinga ya kifedha. ukirudi home bonge la menu na nguo unanunuliwa,zako unahonga tu kwa raha zako!
Kuna maadili kumbe hadi ya kuvumilia vipondo is my first time 2 hear so.
 
Back
Top Bottom