Mie nawachukia sana Wanaume ambao wanatumia njia mkato ya kumaliza matatizo na wake zao maGF kwa vipigo ambavyo wengine hupata hata majeraha, vilema au hata kufa. Ni kitu ambacho huwa kinanisikitisha sana na bahati mbaya Serikali bado haijaweka nguvu za kutosha katika kupambana na hawa waonevu.
basi kama ni hivyo msiwaingilie wala msijiulize...
Mkuu upo, mbona tunachengana sana majukwaani?Aisee....
Dah! Kaaazi kwel kwel!
Juzi kuna rafiki yangu mmoja kanipa stori kwamba wana rafiki yao mmoja wa kike huwa anakula kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa boyfriend wake kiasi cha huyo dada kuwa na alama kama amewahi kuugua ule upele wa mwili mzima.
Sasa balaa ni kwamba jamaa akishamtembezea kipigo hivyo hata kama ni kwa kosa la kipuuzi namna gani lazima amalizie hasira zake kwa kufanya mapenzi na huyo mdada. Halafu balaa ni kwamba mdada kakolea mbaya........................
mwenye matatizo ni huyo mdada... kwani mwanaume ndio huyo, amekolezwa upuuzi gani mpaka atake kutolewa roho na bado yupo... kweli mapenzi yakizidi ni ungonjwa usotibika.
Kuna wanawake wanaona raha wakipigwa, tena husimulia kwa sifa haswa
yah wanamwona kama **** vile, yupo mmoja hivi yan namwangalia simmalizi, yaani anasimulia mwenzenu nimepigwa then mwisho wake mechi kalina wakipata mwanaume hajui kupiga ni dharau mwanzo mwisho....
yah wanamwona kama **** vile, yupo mmoja hivi yan namwangalia simmalizi, yaani anasimulia mwenzenu nimepigwa then mwisho wake mechi kali
unamwangalia hummalizi
Jamani, hivi kukubali kupokea kisago ni maadili? Unatania!kumbe wanawake wenye maadili bado wapo eeh? huyo kaka ana bahati sana,mashaallah!
Juzi kuna rafiki yangu mmoja kanipa stori kwamba wana rafiki yao mmoja wa kike huwa anakula kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa boyfriend wake kiasi cha huyo dada kuwa na alama kama amewahi kuugua ule upele wa mwili mzima.
Sasa balaa ni kwamba jamaa akishamtembezea kipigo hivyo hata kama ni kwa kosa la kipuuzi namna gani lazima amalizie hasira zake kwa kufanya mapenzi na huyo mdada. Halafu balaa ni kwamba mdada kakolea mbaya........................
acha ujinga wewe,nyie ndo mnasababisha mpaka tunakosa watu wa kuoa kwa sababu ya mawazo yenu finyundio mapenzi ya kikurya hayo!!wala hakuna tatizo hapo