Jamaa aliokota wallet, alipofika nyumbani
akapiga simu kwenye radio station "naitwa
Juma nimepiga simu kutangaza kuwa
nimeokota wallet ndani ina laki7, ATM
card na karatasi yenye PIN ya ATM card
na kijimfuko cha dhahabu" Mtangazaji
akasema, kwa hiyo ungependa
kumrudishia mwenyewe kama
anakusikiliza? Jamaa akajibu; hapana,
ninaomba kumuombea dedication wimbo
wa R.Kelly usemao "U SAVED ME"
umfikie popote alipo!!