Jamaa atongoza mkewe bila kujijua

Jamaa atongoza mkewe bila kujijua

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
Jamaa alijikuta akimtongoza mkewe wa ndoa na kuumbuka kwa ukiwembe na tamaa zisizo na mpango maana mkewe ni mzuri na mwenye tabia njema. Kilichotokea ni kuwa jamaa alienda pale chuo cha IFM na kumwaga business kadi kadhaa kwa muuza matunda nje ya geti la chuo hicho. Makubaliano yalikuwa muuza matunda awe anazigawa kadi kwa warembo wazuri akimaambia kuwa muhusika aliwaona na hakupata wasaa wa kuongea nao kwa hiyo ameacha kadi hizo kwa masiliano zaidi. Wale waliojikoki walimtafuta na jamaa aliendelea nao kivyake sasa bahati mbaya muuza matunda aligawa kadi kwa "demu" mkali bila kujua ni mke wa muhusika na mke mtu alishtushwa sana kuona ubazabi wa mumewe mpendwa. Akaamua kununua line ya kuwasiliaana na jamaa hadi pale siku wanakutana lahaulaaaa kumbe mkewe? Kama wewe ungefanyaje??? Nawakilisha.

sina mbaya na wew.... mi natongoza hadi picha ya GAZETI.

HABARI ZENYUUUUU BANAAAAAAAA

Wale waliojikoki walimtafuta na jamaa aliendelea nao kivyake sasa bahati mbaya muuza matunda aligawa kadi kwa "demu" mkali bila kujua ni mke wa muhusika na mke mtu alishtushwa sana kuona ubazabi wa mumewe mpendwa. Akaamua kununua line ya kuwasiliaana na jamaa hadi pale siku wanakutana lahaulaaaa kumbe mkewe? Kama wewe ungefanyaje??? Nawakilisha.

hivi huyu jamaa ni matope kiasi gani kwenda kujivua nguo kwenye chuo ambacho anajuafika mkewe anasomea pale......................kwanini asitafue njia ya mkato ya kumendea mendea rafiki za mke wake ambao huja nao nyumbani......kwa kuwakokota yeye mwenyewe.........lol.........hadithi yaonekana ni ya kutungwa au ya kusadikika kabisa...........

Bora na wewe umeligundua hilo, nilifikiri nipo peke yangu...lol

Na mimi nimewaza hivyo hivyo; may be mkewe si mwanafunzi alienda tu nunua matunda kama mpita njia muuza matunda kafikiri nae ni dent. Siku za mwizi si lazima ziwe 40. Ila jamaa atakuwa mhathirika hawezi kutumia business cards kusaka mademu badala ya kusaka biashara; nina wasiwasi mkubwa kuwa ni positve huyo anausambaza kwa nguvu zote kama mzee wa BoT.
Poleni kaka zangu ambao hamjaoa.

hivi huyu jamaa ni matope kiasi gani kwenda kujivua nguo kwenye chuo ambacho anajuafika mkewe anasomea pale......................kwanini asitafue njia ya mkato ya kumendea mendea rafiki za mke wake ambao huja nao nyumbani......kwa kuwakokota yeye mwenyewe.........lol.........hadithi yaonekana ni ya kutungwa au ya kusadikika kabisa...........

Hadithi hii inatufundisha nini? Au ni fumbo tukupatie mji
Jamaa alijikuta akimtongoza mkewe wa ndoa na kuumbuka kwa ukiwembe na tamaa zisizo na mpango maana mkewe ni mzuri na mwenye tabia njema. Kilichotokea ni kuwa jamaa alienda pale chuo cha IFM na kumwaga business kadi kadhaa kwa muuza matunda nje ya geti la chuo hicho. Makubaliano yalikuwa muuza matunda awe anazigawa kadi kwa warembo wazuri akimaambia kuwa muhusika aliwaona na hakupata wasaa wa kuongea nao kwa hiyo ameacha kadi hizo kwa masiliano zaidi. Wale waliojikoki walimtafuta na jamaa aliendelea nao kivyake sasa bahati mbaya muuza matunda aligawa kadi kwa "demu" mkali bila kujua ni mke wa muhusika na mke mtu alishtushwa sana kuona ubazabi wa mumewe mpendwa. Akaamua kununua line ya kuwasiliaana na jamaa hadi pale siku wanakutana lahaulaaaa kumbe mkewe? Kama wewe ungefanyaje??? Nawakilisha.

Na mimi nimewaza hivyo hivyo; may be mkewe si mwanafunzi alienda tu nunua matunda kama mpita njia muuza matunda kafikiri nae ni dent. Siku za mwizi si lazima ziwe 40. Ila jamaa atakuwa mhathirika hawezi kutumia business cards kusaka mademu badala ya kusaka biashara; nina wasiwasi mkubwa kuwa ni positve huyo anausambaza kwa nguvu zote kama mzee wa BoT.

Poleni kaka zangu ambao hamjaoa.

Ni bora umesema wewe maana wabongoz bwana na bongoz zetu lalaz bin hasiz lakizi zilizo makini kulaamu pasi kufikiria ama kuchukua hatua mathubuti. Hii yawezekana ni hadithi ya kufikirika lakini je tuwe na mtazamo chanya twajifunza nini?

Hizo business cards angeenda kuzigawa chuo kingine hapo sawa, lakini kwenye chuo anachosoma mkewe?? Mmh.....hata haiji kabisaa!! Mi nahisi iwe fundisho tu kwa wale wakware.

Hadithi hii, Inatufundisha tusinywe pombe kupita kiasi.... funda moja tu....

Aaah Mkuu acha kamba..,utatongozaje mkeo kwa simu ina maana sauti yake haijui? Ila poa ina kafundisho flani inabidi technique ya kugawa Business Card iwe reviewed..

Jamaa bonge la zoba au ndo mazoea hayo yamejenga tabia????

This is a made up story, not worth discussing!!

Back
Top Bottom