Jamaa aua watu sita na kujiua Urusi, raia wameanza kuchanganyikiwa

Jamaa aua watu sita na kujiua Urusi, raia wameanza kuchanganyikiwa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Taifa limefika pabaya, damu ya watu wa Ukraine itawatia pabaya Warusi....wajaribu na kurekebisha mapema...
Ukraine walikua wanaendesha nchi yao kwa amani, tena kidemokrasia walikua wameizidi Urusi, unawakuta na kusambaratisha nyumba zao, na kuwaua halafu unategemea watu wako waishi kwa amani nyumbani....
1664237984919.png

A gunman has opened fire at a school in central Russia, killing at least six people and injuring twenty, Russian officials say.
Ambulance and security services have arrived on the scene in the city of Izhevsk.

The shooting took place at school number 88, with almost 1000 pupils and 80 teachers.

The gunman has reportedly killed himself and the motive for the shooting is unclear.

This breaking news story is being updated and more details will be published shortly. Please refresh the page for the fullest version.

MSN
 
Ndio uzuri wa kuwa na IDs nyingi.

Unaanzisha uzi, halafu unaanza kujijibu mwenyewe..
 
Hivi ni vita vya mvamizi kuvamia watu kwenye nchi yao na kuanza kuwaua, mbona upate tabu kuchagua? Ungekua wa dini ile ya Mwarabu ningekuelewa maana wao walishachagua kumshobokea Urusi kisa wanadhani wanakomoa Marekani.
Pengine kweli ujue
 
Sasa hivi hawaamini kinachoendelea ukraine, walikuwa na kasi sana mwanzoni. Kwa sasa hoja yao ni kura za kubakisha majimbo ya donbas.
 
Hivi ni vita vya mvamizi kuvamia watu kwenye nchi yao na kuanza kuwaua, mbona upate tabu kuchagua? Ungekua wa dini ile ya Mwarabu ningekuelewa maana wao walishachagua kumshobokea Urusi kisa wanadhani wanakomoa Marekani.
Sisi hatujachagua urusi ili kumkomoa marekani. Ila sisi huwa tunashabikia mvamizi maana ndo huwa ana nguvu kuliko mvamiwa. Usa ilipovamia iraq tulisimama na usa. Nato ilipovamia afganistan tulikuwa upande wa nato n leo urusi kavamia ukraine tuko upande wa urusi ndugu. Sisi tunashabikia mshindi tu. Yaani bora nijiunge na kundi shupavu lenye nia ovu kuliko kujiunga na kundi dhaifu lenye nia ovu
 
Sasa tatizo mnamshobokea mvamizi miyeyusho, wanajeshi wake wamekua wanatoroka kwa baiskeli, sasa anahangaika kukusanya wanywa gongo na mgambo wakapigane pale wanajeshi rasmi wameshindwa.....na cha kushangaza shida yote hiyo aliambulia kuparamia 20% ya Ukraine na zenyewe zinamtoka puani.
 
Back
Top Bottom