Jamaa bado ana hasira na wewe, we jichekeshechekeshe tu

nzagambadume

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
2,430
Reaction score
5,779
Hajasahau alivyotekwa na wewe ukiwa mhusika mwenye mamlaka ya kuhakikisha anarudi hata hukuhangaika na ulikuwaga na majibu ya ajabu kweli
labda siku hizi inawezekana umeanza kuwa na roho soft baada ya kupigwa benchi
roma.PNG
 
Sasa kama alimteka yeye kwanini tena amtafute wakati anajua alipo,by the way Singida united ni tawi la Yanga
 
Soon atamtafuta yule bwana mdogo Nondo apige nae picha, aliyemsingizia amejiteka mwenyewe afu akajipulizia na perfume.
 
Hajasahau alivyotekwa na wewe ukiwa mhusika mwenye mamlaka ya kuhakikisha anarudi hata hukuhangaika na ulikuwaga na majibu ya ajabu kweli
labda siku hizi inawezekana umeanza kuwa na roho soft baada ya kupigwa benchi
View attachment 967334

Huyu jamaa aliyevaa suruali inayobana mapumbu ndiyo nani....hivi hana washauri kweli? Yaani anavaa kitoto mno na wala haendani na umri wake. Anasikitisha mno.
 
Back
Top Bottom