nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
za saa hizi bi mdashi?Upuuzi mtupu.
Faiza foxy I miss uUpuuzi mtupu.
Soon atamtafuta yule bwana mdogo Nondo apige nae picha, aliyemsingizia amejiteka mwenyewe afu akajipulizia na perfume.Sasa kama alimteka yeye kwanini tena amtafute wakati anajua alipo,by the way Singida united ni tawi la Yanga
UPI kama wa kumteka mo ttzo lako ww jinga sanaUpuuzi mtupu.
Mm Mfupi ila Stamina kazidi Aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unautafuta eeh?za saa hizi bi mdashi?
So ule uzalendo' ndo ushaisha?Amenyooshwa mpk ameacha kuvaa "skafu' na tai zenye bendera ya taifa.Magu shukilia hapo hapo.
Uzalendo na njaaa ni ujingaaa...![emoji23][emoji23][emoji23]pesa kwanzaaaSo ule uzalendo' ndo ushaisha?
Hajasahau alivyotekwa na wewe ukiwa mhusika mwenye mamlaka ya kuhakikisha anarudi hata hukuhangaika na ulikuwaga na majibu ya ajabu kweli
labda siku hizi inawezekana umeanza kuwa na roho soft baada ya kupigwa benchi
View attachment 967334
Hahah uzalendo wapi mkuu,v8 ilikua inamachanganya tu.So ule uzalendo' ndo ushaisha?