comte JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 9,019 Reaction score 6,825 Oct 17, 2022 #1 Jamaa alikwenda baa jana akanywa na kulewa. Ila aliweza kurudi nyumbani akiendesha gari lake na kweza kuliegesha kama inavyoonekana; sasa ameshindwa kulitoa anaomba msaada
Jamaa alikwenda baa jana akanywa na kulewa. Ila aliweza kurudi nyumbani akiendesha gari lake na kweza kuliegesha kama inavyoonekana; sasa ameshindwa kulitoa anaomba msaada
R renason New Member Joined Mar 21, 2020 Posts 4 Reaction score 5 Oct 17, 2022 #2 Nashauri aende tena kulewa akirudi itakuwa rahisi kulitoa.
Njemba Soro. JF-Expert Member Joined Oct 5, 2013 Posts 3,732 Reaction score 6,561 Oct 17, 2022 #3 Atakuwa yanga huyo...
comte JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 9,019 Reaction score 6,825 Oct 17, 2022 Thread starter #4 renason said: Nashauri aende tena kulewa akirudi itakuwa rahisi kulitoa. Click to expand... Hata mie nilidhani hivyo ila nikajiuliza aleweye wapi baa au hapo kwake?
renason said: Nashauri aende tena kulewa akirudi itakuwa rahisi kulitoa. Click to expand... Hata mie nilidhani hivyo ila nikajiuliza aleweye wapi baa au hapo kwake?
V vibesen xxx JF-Expert Member Joined Jul 23, 2022 Posts 3,187 Reaction score 6,620 Oct 19, 2022 #5 Fake