Jamaa kafanya kituko kamtongoza mdogo wa ex-wake unamshaurije?

Jamaa kafanya kituko kamtongoza mdogo wa ex-wake unamshaurije?

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Ni rafiki yangu anafanya biashara zake mikoa fulani alikuwa na mpenzi wake wakaachana mazoea yalipoanza na mdogo wa ex- wake alikua ananiomba ushauri sana anamkataeje dogo maana dogo alikua anatimba adi ghetto kwa jamaa kupiga story.

Sasa siku jamaa kayatwika kaamua kumrushia vocal mdogo wa ex- toka katupa vocal hajajibiwa kitu akanifuata kuomba ushauri tumshauri vipi uyu GenZ wa bongo anaewaza mapenzi.
 
Aendelee kufanya vituko akitoka kwa mdogo wake aende mpaka ukweni akatongoze mpaka mama wa dogo wa ex wake.
 
Mshauri aendelee kukaza wanawake wengi hasa wa kiafrika wagumu kukubali.
Anaweza kubahatika kula vifaranga 2 vya maza 1 .
Dada mtu si walishaachana
Mbona watu kibao wanapita na dada na mdogo bila hata kuachana (shemeji kula)
Watu wanakula hadi mama na watoto.
Mshahuri kama ana hela za mchezo aongeze kuhonga videmu vya sasa vinapenda hela kulipo kitu chochote
 
Hii huwaga demu ulimpenda sana paka unaamini hakuna mwanamke mzuri zaidi ya wale wa ukoo au familia yao, kumbe ni useless imagination tu, kiuhalisia ni kwamba hisia bado zipo kwa yule mkubwa so lengo ni kujiweka karibu kwa kupata story zake, au kumuumiza wakati kasha move on. Wanaume mahusiano yakiisha yameisha, usiforce vizuri bado vipo vingi.
 
Muulize anajua kuwa Ripoti ya CAG imeibua madudu mengi sana hasa ya ufisadi?
 
Kwani akimgea atakuja kukwambia mdogo wa x amemgea? If yes then show me your friends and will tell who you are haaaaaaa
 
Back
Top Bottom