Hii huwaga demu ulimpenda sana paka unaamini hakuna mwanamke mzuri zaidi ya wale wa ukoo au familia yao, kumbe ni useless imagination tu, kiuhalisia ni kwamba hisia bado zipo kwa yule mkubwa so lengo ni kujiweka karibu kwa kupata story zake, au kumuumiza wakati kasha move on. Wanaume mahusiano yakiisha yameisha, usiforce vizuri bado vipo vingi.