GE2025 Jamaa kajichokea kaona kama noma na iwe noma, kajiondokea zake na bango la mama

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
977
Reaction score
1,966
Your browser is not able to display this video.

Kazini kuna kazi! Kijana kaona asepe na bango Ila watanzania kama kuchoka tumechoka! Sijui hili genge la watekaji na wauaji wanaelewa?
 
Ataenda kuuza Kuni kwa wakaanga mihogo apate hela ya kula
 
Aandaliwe tuzo ya uchafu, zitakazoanza kutolewa mwakani mwezi wa kwanza, kwa vijana wote watakao jizima data kupigania uhuru wa nchi yao tarehe 29 uchafuzini.
 
Ukute ni chawa ndo analitoa kwa fundi kwenda kulipanda barabaran kwao.
 
Kila la kheri zake, itakua waliliweka mlangoni kwake, ndiyo anawarudishia...


Cc: Mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…