TUNAWEZA TUKABUNI NJIA NYINGINE ZA USAFIRI SIO OOH MARA TIKETI IMECHELEWA MARA NDEGE HAKUNA MNAMUONA MWENZENU HUYO TARATIBU ALIKUWA ANAELEKEA SAFARI ZA MBALI.
Badala ya kumuua jamaa, tungeweza kumdadisi njia ya kuborehsa usafiri wa aina hii uwe na huru na si wa kificho kupunguza adha ya usafiri hasa ukizingatia TRL bado ina matatizo makubwa.
Ndiyo walimuua. Nahisi labda ilukwa fumanisi badala ya ungo!!!!
Hakumloga mtu yeyote alikuwa anasafiri zake kama ni kweli na njiani akapata ajali.
je majeruhi wa ajali wanatakiwa kuuawa, hii ni kitendo cha kinyama!!!