Busu la Kenge
JF-Expert Member
- Jun 13, 2025
- 2,583
- 4,776
Hata kama afya mkuu hilo lijacket kwenye 26°C? Stockholm sasa hivi spring 5°C yameshawekwa kabatini kwasababu ukiyavaa yanakusumbua. Haya majaketi ni ya sub zero temperatures.huwez jua kila mtu na afya yake
Hahahahahaaaaa 😂. Dah kwenye 26° C na hilo lijaket la winter limevuka hadi kwenye magoti? Angalia wengine wote wamevaa mashati na tshet.Unaweza kuta jacket lina AC ya ndani kwa ndani. Wewe unamshamgaa jamaa ukihisi anapigwa joto la hatari, kumbe unakuta naye anakudhangaa unavyopigwa joto huku yeye akiws anatembea na kiyoyozi mwilini.
maamuzi yake tumuachie mwenyeweHata kama afya mkuu hilo lijacket kwenye 26°C? Stockholm sasa hivi spring 5°C yameshawekwa kabatini kwasababu ukiyavaa yanakusumbua. Haya majaketi ni ya sub zero temperatures.
RRONDO mrangi Chaliifrancisco
adriz de mbusi
Hilo jacket hamna kitu ni jepesi kinoma usilione limenona hivyo ni mchina kafanya yake ila ni la kawaida kabisa hapo ni km amevaa shati tu. Lakini hua sipendi kuzisikia habari hiziLicha ya nyuzi joto 26°C lakini mwamba huyo alikuwa anajikinga na kawinter uchwara ya Dar wakati wenzake ambao alikuwa akiongea nao pembeni Steve Nyerere kavaa shati tu na makonda.
AInaonekana sasa hivi Dar kuna baridi kali sana pupwe linapuliza balaa majira ya winter.
Katika hali isiyo ya kawaida kuna mwamba kaonekana kavaa winter jacket yale majaketi ya winter watu wanavaa mtoni kwenye sub zero temperature.
Licha ya nyuzi joto 26°C lakini mwamba huyo alikuwa anajikinga na kawinter uchwara ya Dar wakati wenzake ambao alikuwa akiongea nao pembeni Steve Nyerere kavaa shati tu na makonda.
Ila sisi wabongo kwa kuiga tu.
View attachment 3581663View attachment 3581664
adriz de mbusii
Acha kuvaa winter jacket kwenye joto wewee. Tatizo mnaiga kila kitu ukishaangalia movies na series. Ulimbukeni tu.inasikitisha kuona mwanaume kafungua uzi ili kuponda mavazi ya mwanaume mwenzie,, kwan sikuhizi mmekuaje wanetu
Kazidisha ulimbukeniWewe shida yako nini?
mimi tena😄Acha kuvaa winter jacket kwenye joto wewee. Tatizo mnaiga kila kitu ukishaangalia movies na series. Ulimbukeni tu.