Jamaa na kibaka kituoni !!!!!!!!!!!

Kamaka

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2010
Posts
563
Reaction score
33
Jamaa mmoja alifanikiwa kumkamata kibaka nyumbani kwake usiku wa manane

akampeleka kituo cha polisi,wakati alipomaliza kuandika maelezo, alimuomba askari wa zamu amruhusu ili aweze kumuhoji yule kibaka,

askari akakataa huku akidai jamaa atapata nafasi hiyo mahakamani


jamaa akamkata kauli askari huku akisema

" hapana hapana, nilitaka tu kujua huyu kibaka aliwezaje kuingia ndani bila ya kumuamsha mke wangu !!!!!!!!!!!!..kwa sababu nimejaribu hivyo kwa miaka nane sasa bila mafanikio""""""""
 

Simple, hapo kila ni mjuzi kwenye fani yake. huyo ni kibaka na wewe ni mpenda ng..no.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…