siku hizi mimi naona neno la jamaa. inaonekana neno ya jamaa kuna maana mengi.
1. Amekwenda kuwatembelea ndugu, jamaa na marafiki. Hapa jamaa ina maana watu ambao una mahusiano nao ya kiukoo(mjomba, shangazi, mpwa, mtoto wa mjomba, mama mdogo n.k)
2. Yule jamaa ni mkrofi sana. Hapa jamaa inamaanisha kumrejelea mtu fulani, labda kwa kiingereza tungesema the 'guy'
3...Kuna nyingine tena? Sijui.