Jamaa nouma duh!!

Jamaa nouma duh!!

RAJBIYZO

Member
Joined
Aug 10, 2013
Posts
12
Reaction score
3
Kuna jamaa alipigiwa sim na mpenzi wake ikawa hivi.. Mpz:+ hellow baby nime kumiss. Jamaa:+ hata mimi baby. Mpz:+ unajuwa nini mpenzi? Jamaa:+ nini mpenzi. Mpz:+ kuna kitu nataka nikuambie. Jamaa:+ niambie tu mpenzi don't worry. Mpz:+ mh! Nina mimba yako. Jamaa:+ ahaa! Kumbe usjari baby nitumie airtel money mitandao mingine wanakata.
 
Biashara jamani
 
Attachments

  • 1478337581536.jpg
    1478337581536.jpg
    33.6 KB · Views: 46
Kuna jamaa alipigiwa sim na mpenzi wake ikawa hivi.. Mpz:+ hellow baby nime kumiss. Jamaa:+ hata mimi baby. Mpz:+ unajuwa nini mpenzi? Jamaa:+ nini mpenzi. Mpz:+ kuna kitu nataka nikuambie. Jamaa:+ niambie tu mpenzi don't worry. Mpz:+ mh! Nina mimba yako. Jamaa:+ ahaa! Kumbe usjari baby nitumie airtel money mitandao mingine wanakata.
Lol
 
Back
Top Bottom