Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Wakuu mambo vp
Kweli nimeamini kifo tunatembea nacho kama siyo uwepo wa Mungu kwenye hii Dunia sijui kama ningepata hata huu wasaa wa kutype hapa JF.
Majira ya saa 3 usiku
Nikiwa natembea kwa miguu pembezoni mwa barabara( Service Road) kunakitu kilikuja kikatua kwenye Bega langu la kushoto nilihisi maumivu makali sana, kucheki ilikuwa chupa ya serengeti imeangukia pembeni
Ghafla nikaanza kuhisi maumivu makali san ambayo mpaka sasa yanaendelea kuniuma kwenye Bega langu la kushoto
Nikiwa naugulia maumivu ndipo Jamaa mmoja ambae yeye alimuona Fala alienipiga na chupa akaniuliza kwamba kwani jamaa anakujua nikasema yupi akasema si yule aliyekupiga na chupa akiwa amepakiwa kwenye pikipiki, pia baada ya kukupiga aligeuka kukuangalia me nikajua mnafahamiana nikasema simjui, Basi yule jamaa akanisaidia kuninyoosha Bega kisha akaondoka zake nami nikawa najikokota kulekea nyumbani.
Sasa nikuulize wee jamaa uliyenipiga na chupa lengo lako lilikua nini ungenipiga kichwani au kwenye Moyo si ulikua unaniua Wee Mngese nimekukosea nini mimi au ndiyo mashart ya kiganga yaani majini unayoyafuga yanataka Damu sasa umeona uitafute Damu kwa njia hiyo wee maku?
Jamani mbona hii Dunia imejaa waonevu kiasi hiki