Jamaa uliyenipiga na Chupa ya sere nikiwa natembea service road huku ukiwa kwenye pikipiki Kusudio lako lilikua nini? Ulitaka kuniua nimekukosea nini?

Watu wamezaa takataka!
 
Mlevi tangu lini akawa na akili
 
4. Nilikuwa napita service Road wao walikuwa Barabara kuuu
1. Sijawahi kutoka na mke wa mtu wala demu wa mtu mkuu
3.sinywi pombe mkuu
5. Sijawahi kutapeli mtu mkuu yaani kifupi simjui jamaa
Pole sana. Hiyo chupa ilitakiwa itue kwenye bega la Lucas Mwashambwa au rafiki yake Tlaatlaah! Na siyo wewe. Siku nyingine nitawakumbusha vijana wangu wawatwange watu sahihi. Yaani wale CHAWA tu wa Mama.
 
Nimeisha wahi mpiga mtu Kofi la bega Kali na simjui basi tu mzukaaa yani Ile Ile
Pole mdau
 
Wakazi wa dar 60% wanamatatizo ya afya ya akili.
 
Pole sana, ndiyo maana wsnasema pombe si mayi, nakushauri ichukue hiyo chupa ipeleke kampuni ya Serengeti ukawaeleze mkasa uliokutokea kwa uzembe wao wakutozuia wanywaji kuzitumia vibaya na nia yako ya kuwadai fidia mahakamani, unayo hiyo haki.
 
Barabarani kuna mengi. Mimi kuna siku nilikoswa koswa kupigwa na chizi, tunasema bahati.

Nikaambiwa huyo chizi hapatani na wanawake warembo hua anawapiga makofi, kuwarushia mawe na kutukana matusi mazito. Kwahiyo mkuu assume huyo ni tahira tu alikua kapanda bodaboda
 
Mi mwenyewe niliwahi kumtandika mtu kibao bila hata sababu nilikuwa nimelewa nipo kwenye boda
 
Inawezekana ni kisasi labda
1. Umetoka na demu/mke wa mtu
2.Ulimi wako (ulimtukana akawa anakulia timing
3.Mliwahi kukutana kwenye pombe ukamtusi
4.Pikipiki linapita halafu hutaki kulikwepa umekaa njiani
5.Uliwahi kumrusha hela au kumtapeli
4[emoji419][emoji419][emoji419][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huwa Kuna watu nawaambia, TZ Kuna watu barabarani humu wanatamani wakutoe roho, humjui Wala hakujui ili aridhike ni mpaka akuue au akuumize.
 
Tayari hapo una HATI yaani sababu ya kumloga πŸ‘
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…