Jamaa usiku kucha anajamba ovyo kwa kila aina ya sauti. Mara pwii.. ! mara fyuu.. ! mara puu…! mara pyeeh..! Mara tata taa…! Mara buuu…!
Mkewe akamuuliza una nini leo ?
Akajibu nasikiliza MILIO ya makalio yangu !!! maana kuna mingine nataka kuifuta.🙂